LIVE: Waziri wa Nchi OR-TAMISEMI akizungumza na Maafisa Maendeleo ya Jamii
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Online Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Fuatilia #Mubashara Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais TAMISEMI, Angellah Kairuki akihitimisha kikao kazi cha Maafisa Maedeleo ya Jamii wa Sektretarieti za Mikoa na Wakuu wa Idara za Maendeleo ya Jamii kutoka Mamlaka za Serikali za Mitaa Tanzania Bara kilichofanyika jijini Dodoma, Novemba 08-10, 2022.
Tazama BMG TV LIVE hapa chini
No comments: