LIVE STREAM ADS

Header Ads

Kiwanda cha SAYONA matatani kwa kuhujumu miundombinu ya TANESCO

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Shehena ya miundombinu ya TANESCO ikiwemo nyaya za umeme aina ya Copa na Aluminium imekamatwa katika kiwanda cha kutengeneza bidhaa za chuma kama nondo na sufuria cha Sayona Steel kilichopo Nashishi mkoani Mwanza.

Hatua hiyo imefuatia oparesheni inayofanywa na maafisa wa TANESCO ya kuwasaka watu wanaohujumu miundombinu ya shirika hilo ambapo imebainika kuwa shehena iliyokamatwa imesababisha uharibifu katika transfoma zaidi ya 10 na kuathiri upatikanaji wa umeme kwa wateja.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.