LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mstaafu Kikwete ahitimisha mapumziko yake ndani ya Serengeti, Ngorongoro

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Rais Mstaafu Mhe Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete amehitimisha mapumziko yake mafupi ya mwisho wa mwaka kwa kutembelea Hifadhi ya Taifa ya Serengeti.

Dkt Kikwete ambaye ameongozana na Mkewe Mama Salma Kikwete katika ziara hiyo, pia alipata wasaa wa kupita katika Kituo cha Makumbusho ya Bonde la Olduvai na Hifadhi ya Ngorongoro.

No comments:

Powered by Blogger.