Uwekezaji mkubwa ndani ya kiwanda cha dhahabu Mwanza
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Kiwanda cha kusafisha dhahabu cha Mwanza Precious Metals Refinery (MPMR) kilichojengwa kwa ubia kati ya Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) na kampuni ya Lozera ya nchini Dubai kina uwezo wa kusafisha kilo 480 za madini kwa siku kwa ubora wa asilimia 99.99 kikigharimu Tsh. Bilioni 16.
Tazama BMG TV hapa chini
TAZAMA>>> Video zaidi hapa
No comments: