LIVE STREAM ADS

Header Ads

Shirika la STAMICO lakabidhi vifaa vya uchimbaji kwa wenye usikivu hafifu

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) limeendelea kuwawezesha wachimbaji wadogo wa madini kwa kukabidhi vifaa vya uchimbaji kwa kikundi cha wachimbaji dhahabu kinachoundwa na watu wenye usikivu hafifu kilichopo Masumbwe mkoani Geita.

Hafla ya kukabidhi vifaa hivyo imefanyika Machi 27, 2023 ilishuhudiwa na Waziri wa Madini, Dkt. Doto Biteko aliyeeleza furaha yake kwa STAMICO baada ya kuona inatimiza moja ya malengo yake ambayo ni kuwawezesha wachimbaji madini wadogo.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.