LIVE STREAM ADS

Header Ads

Waziri Biteko afunguka utendaji wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO)

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Waziri wa Madini, Dkt. Doto Biteko amefurahishwa na mkakati wa Shirika la Madini la Taifa (STAMICO) kupanda miti milioni moja katika maeneo mbalimbali nchini ili kuunga mkono jitihada za kukabiliana na mabadiliko ya tabianchi.

Dkt. Biteko ameyasema hayo mjini Geita wakati wa zoezi la kupanda miti katika eneo la EPZA lililoandaliwa na STAMICO likiambatana na kukabidhi vifaa vya uchimbaji kwa wachimbaji dhahabu wenye usikivu hafifu pamoja na kusaini mkataba wa uchorongaji miamba katika mgodi wa GGML wenye thamani ya shilingi bilioni 55.2 kwa kipindi cha miaka miwili.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.