Mahojiano na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi (CCM) Taifa
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
CCM kupitia Jumuiya ya Wazazi kujenga Hospitali kubwa na ya kisasa ngazi ya Kanda, itakuwa na vitanda zaidi ya 1,000. Pia itatumika kama Shule ya Tiba.
Mikakati mingine ni kuimarisha uhai wa miradi ya Jumuiya ikiwemo Shule na kuanzisha miradi mipya zaidi. Mwenyekiti wa Wazazi Taifa, Fadhil Maganya ajivunia miaka miwili ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan.
Tazama BMG TV hapa chini
SOMA>>> Habari zaidi hapa
No comments: