LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mamilioni ya Rais Samia yamuibua Meya Mwanza

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Mstahiki Meja wa Jiji la Mwanza amewaagiza watendaji kusimamia vyema vitendea kazi vilivyonunuliwa katika Kituo cha Afya Igoma ikiwemo mashine ya CT- Scan pamoja na jenereta kubwa itakayosaidia huduma ikiwemo upasuaji kuendelea umeme unapokatika.

Sima ameyasema hayo wakati akikagua miradi ya maendeleo ikiwemo ya afya na elimu katika Kata za Kishiri na Igoma.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.