LIVE STREAM ADS

Header Ads

Meya Mwanza acharuka ujenzi soko la Mlango Mmoja kutokamilika

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Mstahiki Meya wa Jiji la Mwanza, Sima Costantine ameeleza kukerwa na ujenzi wa vibanda 45 katika soko la mitumba Mlango Mmoja vilivyopaswa kujengwa baada ya upande mkoja wa soko hilo kuungua moto Septemba 2018.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.