LIVE STREAM ADS

Header Ads

Meya Mwanza awabananisha Wataalamu walioruhusu ujenzi holela

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Mstahi Meya wa Halmashauri ya Jiji la Mwanza, Sima Costantine amesema Halmashauri hiyo haitawavumilia baadhi ya wataalamu wasio waadilifu wanaotoa vibali vya ujenzi ama ukarabati kinyume na ramani za mipango miji zinazoendana na hadhi ya Jiji hilo.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.