LIVE STREAM ADS

Header Ads

Msanii Bisk aachia wimbo wa "Jaga Jaga"

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Ni msanii wa muziki wa miondoko ya Afro Beat kutoka nchini Nigeria ambaye anaamini katika talanta yake huku ikiwa na shauku ya kutaka Afrika nzima itambue anachokifanya katika muziki.

Bisk ameachia wimbo wake alioupatia jina la “Jaga Jaga” wimbo ambao pia unapatikana katika vyanzo mbali mbali vya kupakua muziki ikiwemo Youtube. 
Vile vile kufutialia kazi zake zijazo unaweza kumfuata katika mitandao yake ya kijamii kama @bisk_
Furahia muziki mzuri.
Tazama Video hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.