LIVE STREAM ADS

Header Ads

Shuhuda za maajabu ya mtoto Yunis Ogot wa Bukama Rorya (#01)

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Simulizi kuhusiana na mtoto Yunis Ogot (04) mkazi wa Kijiji cha Bukama Wilaya ya Rorya mkoani Mara bado zinaendelea ambapo awamu hii tunakuletea mfululizo wa shuhuda kutoka kwa watu wanaofika kijijini hapo kusaka miujiza ya mtoto huyo.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.