LIVE STREAM ADS

Header Ads

Huduma ya maombi yenye utata Mwanza yafungwa #02

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Mamia ya wagonjwa kutoka maeneo mbalimbali nchini wamekimbilia kwenye huduma ya maombi tata mkoani Mwanza.

Inaelezwa msimamizi wa huduma hiyo, Kabula Lushika na mmewe wanawahimiza wagonjwa kuamini maombi na si kwenda hospitali.

Tayari Serikali imechukua hatua na kuifunga huduma hiyo na wagonjwa waliokuwa na hali mbaya kiafya kukimbizwa hospitalini.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.