LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mfalme Zumaridi awaita Wanahabari, atoa taarifa kwa umma #01

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Baada ya kimya cha miezi kadhaa hatimaye Mfalme Zumaridi Juni 27, 2023 amewaita waandishi wa habari nyumbani kwake jijini Mwanza na kuzungumzia masuala mbalimbali ikiwemo sherehe kubwa ya kumshukuru Mungu kwa kumlinda wakati akikabiliwa na kesi na kumsaidia kuachiwa huru.
Tazama BMG Online TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.