LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mtangazaji Alloyce Nyanda ajilipua sakata la bandari, DP World

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com 
Mtangazaji nguli nchini, Alloyce Nyanda ametoa maoni yake kuhusiana na sakata la mkataba wa uwekezaji baina ya Serikali ya Tanzania na Dubai na kushauri Serikali kuzikiliza zaidi maoni ya wananchi ambao ndio wenye nchi.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.