LIVE STREAM ADS

Header Ads

Serikali kufanyia kazi maoni ya watanzania kuhusu mkataba wa Bandari

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Serikali kupitia kwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa imetolea ufafanuzi masuala mbalimbali yanayohusiana na mkataba wa uwekezaji wa bandari baina ya Tanzania na Dubai kupitia kampuni ya DP World.

Akitoa ufafanuzi huo Jumatano Juni 14, 2023 mbele ya waandishi wa habari jijini Mwanza, Prof. Mbarawa amesema Serikali itapokea na kufanyia kazi maoni ya watanzania kuhusiana na mkataba wa uwekezaji huo.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.