LIVE STREAM ADS

Header Ads

Wanahabari Mwanza waibana Serikali kuhusu mkataba wa bandari

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Serikali kupitia kwa Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi imekutana na waandishi wa habari jijini Mwanza na kutolea ufafanuzi masuala mbalimbali yanayohusiana na mkataba wa uwekezaji wa bandari baina ya Tanzania na Dubai na baadae kujibu maswali yao.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.