LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mwenyekiti SMART aichambua ziara ya Rais Samia Mwanza

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Misungwi, Michael Masanja Smart amesema ziara ya Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan aliyoifanya mkoani Mwanza itasaidia kuongeza kasi zaidi ya utekelezaji wa miradi ya kimkakati ikiwemo daraja la JP Magufuli linalojengwa eneo la Kigongo- Busisi.

Smart pia ametumia fursa hiyo kumuomba Rais Dkt. Samia kujenga barabara inayotoka katika daraja hilo ambalo limefikia asilimia 75 kuelekea Usagara kwa njia nne kwani kukamilika kwake kutaongeza idadi ya magari.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.