Wadau wa usafirishaji watoa neno kukamilika Stendi ya Nyegezi Mwanza
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Wadau wa usafirishaji jijini Mwanza akiwemo Mwenyekiti wa chama cha waendesha daladala, Mjarifu Manyasi pamoja na Mwenyekiti wa chama cha makondakta, Mlimi Juma wametoa maoni mbalimbali baada ya stendi mpya ya mabasi nyegezi kukamilika na kuanza kutoa huduma Juni 05, 2023
Tazama BMG TV hapa chini
No comments: