LIVE STREAM ADS

Header Ads

Karibu BUSYBEE CABINS Mwanza ufurahie upepo wa Ziwa Victoria juu ya Miamba

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Ukiwa jijini Mwanza, BusyBee Cabins ni eneo tulivu lililo juu ya miamba linalokupa wasaa mzuri wa kupumzika na kufurahia siku yako huku ukipata upepo mwanana wa Ziwa Victoria. 
Ukiwa BusyBee Cabins utafurahia chakula, vinywaji na burudani murua ndani ya ChickenRunBar.
Tazama picha zaidi.
Karibu BusyBee Cabins & ChickenRunBar ufurahie ukiwa ndani ya Jiji la Mwanza.
TAZAMA BMG TV HAPA CHINI
MAWASILIANO +255 757 34 59 21 BARAKA NYORORO

No comments:

Powered by Blogger.