LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mwalimu Mkuu Misungwi ampa mimba mwanafunzi darasa la saba

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Kilimo iliyopo Ukirigulu Misungwi mkoani Mwanza, Charles Maige ameingia matatani kwa tuhuma za kumpa ujauzito mwanafunzi wa darasa la saba shule ya msingi Kilimo Wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza. 

Mwalimu huyo tayari ametiwa nguvuni na watuhumiwa wengine wawili ambao ni Mwl. Isaac Kubini wa shule hiyo aliyetaka kumrubuni mwanafunzi huyo kimapenzi ili asifichue sakata hilo pamoja na Mwenyekiti wa Kamati ya Shule aliyekuwa akisuluhisha ili lisifike kwenye vyombo vya sheria.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.