LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mandonga (Tanzania) akutana na balaa la Golola (Uganda)

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano 0757 43 26 94 ama ripotabmg@gmail.com
Bondia Karim Mandonga wa Tanzania amekumbana na tambo kali kutoka kwa bondia kutoka Uganda, Moses Golola ikiwa zimesalia siku chache wawili hao kukutana kwenye pambano la Usiku wa Vitasa Mwanza (Mo Vitasa Night) Jumamosi Julai 29, 2023 Malaika Hotel.

Katika pambano hilo, pia bondia mtanzania Twaha Kiduku atazichapa na bondia kutoka Afrika Kusiki, Asemahle Wellem.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.