LIVE STREAM ADS

Header Ads

CCM Mwanza yamteua mgombea kwenye Uchaguzi Mdogo

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Katibu Mwenezi CCM Mkoa Mwanza, Simon Mangelepa.

Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa Mwanza imempitisha Venance Mwanza Mathias kuwa mgombea udiwani Kata ya Mwaniko wilayani Misungwi kwenye Uchaguzi Mdogo unaotarajiwa kufanyika Septemba 19, 2023 baada ya aliyekuwa diwani wa Kata hiyo kufariki.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.