LIVE STREAM ADS

Header Ads

Wafanyakazi wa Barrick washiriki mbio za CRDB Marathon 2023

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Katika kufanikisha programu ya kampuni ya Barrick ya kuhamasisha wafanyakazi wake kufanya mazoezi mazoezi kwa ajili ya kujenga afya zao, baadhi ya wafanyakazi wake kutoka migodi ya Bulyanhulu na North Mara walishiriki katika mbio za CRDB Marathon zilizofanyika jijini Dar es Salaam katika umbali tofauti.
Wafanyakazi wa Barrick wakishiriki kukimbia mbio za CRDB Marathon.
Wafanyakazi wa Barrick wakishiriki kukimbia mbio za CRDB Marathon.
Wafanyakazi wa Barrick wakifurahi baada ya kumaliza kukimbia mbio za riadha za CRDB Marathon 2023.
Wafanyakazi wa Barrick wakifurahi baada ya kumaliza kukimbia mbio za riadha za CRDB Marathon 2023.
Baadhi ya wafanyakazi wa Barrick walioshiriki mbio za riadha za CRDB Marathon katika picha ya pamoja.

No comments:

Powered by Blogger.