LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mbunge wa Nyamagana akabidhi jezi kwa makondakta

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Chama cha Makondakta wa Daladala na Wasaidizi Wake Mkoa Mwanza (UVDS) kimefanya mkutano wake wa mwaka uliofanyika Septemba 10, 2023 jijini Mwanza. Katika mkutano huo, mbunge wa Jimbo la Nyamagana, Stanslaus Mabula alitoa msaada wa jezi kwa UVDS.
Tazama BMG TV hapa chini
SOMA PIA>>> HABARI ZAIDI HAPA

No comments:

Powered by Blogger.