Mwenge wa Uhuru watua Mbeya
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com

Akizungumza katikakesha wa Mwenge huo wilayani Mbarali, Chatanda amewataka wazazi na walezi wa watoto kuzingatia suala la maadili ambalo limekuwa ni changamoto kubwa kwa Taifa.
"Ndugu wazazi wenzangu tuwe makini na vijana wetu kwani hali imekuwa mbaya, dunia imeharibika hivyo tuongeze umakini kwenye suala la malezi" amesema Chatanda.
No comments: