LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mgombea wa CCM awatibua wapinzani, nimezaliwa kutikisa

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Kampeni cha uchaguzi mdogo zinaendeleo katika maeneo mbalimbali nchini kuanzia Agosti 25, 2023 ambapo uchaguzi huo unatarajiwa kufanyika Septemba 19, 2023. Miongozi mwa maeneo yatakayoshiriki uchaguzi huo ni Kata ya Mwaniko wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza ambapo wananchi wa Kata hiyo wanatarajiwa kumchagua diwani baada ya aliyekuwepo kufariki.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.