LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mkurugenzi wa AZAT asherehekea siku yake ya kuzaliwa na wazee wa Busanda

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Mkurugenzi wa kiwanda kidogo cha kutengeneza vifungashio cha AZAT, Azza Hilal Hamad akimlisha keki mmoja wa wazee wanaolelewa katika kituo cha Busanda halmashauri ya wilaya ya Shinyanga.
Mkurugenzi wa kiwanda kidogo cha kutengeneza vifungashio cha AZAT, Azza Hilal Hamad (kulia) akikata keki na mmoja wa wazee wanaolelewa katika kituo cha Busanda kilichopo katika kata ya Usanda halmashauri ya wilaya ya Shinyanga wakati akisherehekea siku yake ya kuzaliwa 'Birthday' Jumatano Oktoba 18, 2023.

Na Kadama Malunde, Malunde 1 Blog
Mkurugenzi wa kiwanda kidogo cha kutengeneza vifungashio cha AZAT, Azza Hilal Hamad amesherehekea siku ya kuzaliwa kwake (Birthday) na wazee wanaolelewa katika kituo cha kulelea wazee cha Busanda kilichopo katika Kata ya Usanda halmashauri ya wilaya ya Shinyanga.

Hilal ambaye ni mkazi wa Tinde wilayani Shinyanga Mkoa wa Shinyanga amesherehekea Birthday yake na wazee hao Jumatano Oktoba 18, 2023 kwa kukata keki na kuwapatia zawadi mbalimbali ikiwa ni utamaduni wake aliojiwekea kutembelea kituo hicho mara kwa mara.
Mkurugenzi wa kiwanda kidogo cha kutengeneza vifungashio cha AZAT, Azza Hilal Hamad akipokelewa kwa shangwe na marafiki zake, wazee wanaolelewa katika kituo cha Busanda kilichopo katika kata ya Usanda halmashauri ya wilaya ya Shinyanga.
Mkurugenzi wa kiwanda kidogo cha kutengeneza vifungashio cha AZAT, Azza Hilal Hamad (wa pili kulia) akipokelewa kwa shangwe na marafiki zake, wazee wanaolelewa katika kituo cha Busanda kilichopo katika kata ya Usanda halmashauri ya wilaya ya Shinyanga.
Mkurugenzi wa kiwanda kidogo cha kutengeneza vifungashio cha AZAT, Azza Hilal Hamad (kulia) akimlishe keki na mmoja wa wazee wanaolelewa katika kituo cha Busanda.
Mkurugenzi wa kiwanda kidogo cha kutengeneza vifungashio cha AZAT, Azza Hilal Hamad (kulia) akilishwa keki na mmoja wa wazee wanaolelewa katika kituo cha Busanda.
Zeozi la kuwasha mshumaa likiendelea
Mkurugenzi wa kiwanda kidogo cha kutengeneza vifungashio cha AZAT, Azza Hilal Hamad akimlisha keki mmoja wa wazee wanaolelewa katika kituo cha Busanda halmashauri ya wilaya ya Shinyanga.
Mkurugenzi wa kiwanda kidogo cha kutengeneza vifungashio cha AZAT, Azza Hilal Hamad akimlisha keki mmoja wa wazee wanaolelewa katika kituo cha Busanda halmashauri ya wilaya ya Shinyanga.
Mkurugenzi wa kiwanda kidogo cha kutengeneza vifungashio cha AZAT, Azza Hilal Hamad akimlisha keki mmoja wa wazee wanaolelewa katika kituo cha Busanda halmashauri ya wilaya ya Shinyanga.
Mkurugenzi wa kiwanda kidogo cha kutengeneza vifungashio cha AZAT, Azza Hilal Hamad akimlisha keki mmoja wa wazee wanaolelewa katika kituo cha Busanda halmashauri ya wilaya ya Shinyanga.
Mkurugenzi wa kiwanda kidogo cha kutengeneza vifungashio cha AZAT, Azza Hilal Hamad akiendelea kuwalisha keki wazee wanaolelewa katika kituo cha Busanda.
Mkurugenzi wa kiwanda kidogo cha kutengeneza vifungashio cha AZAT, Azza Hilal Hamad akigawa juisi na soda kwa wazee wanaolelewa katika kituo cha Busanda halmashauri ya wilaya ya Shinyanga.
Mkurugenzi wa kiwanda kidogo cha kutengeneza vifungashio cha AZAT, Azza Hilal Hamad akizungumza na wazee wanaolelewa katika kituo cha Busanda halmashauri ya wilaya ya Shinyanga.
Mkurugenzi wa kiwanda kidogo cha kutengeneza vifungashio cha AZAT, Azza Hilal Hamad akipiga picha ya kumbukumbu na wazee.
Mkurugenzi wa kiwanda kidogo cha kutengeneza vifungashio cha AZAT, Azza Hilal Hamad akipiga picha ya kumbukumbu na viongozi pamoja na wazee.
Mkurugenzi wa kiwanda kidogo cha kutengeneza vifungashio cha AZAT, Azza Hilal Hamad akiagana na wazee wanaolelewa katika kituo cha Busanda halmashauri ya wilaya ya Shinyanga.

No comments:

Powered by Blogger.