LIVE STREAM ADS

Header Ads

Wanachama TALGWU kumiliki viwanja, nyumba kupitia KC LAND

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania (TALGWU) kimeingia makubaliano na kampuni ya upimaji viwanja ya KC LAND ili kuwawezesha wanachama wake kumiliki viwanja na makazi bora kwa gharama nafuu.

Kwa kuanzia, mpango huo utaanza na viwanja vilivyopimwa katika eneo la Ikengele nje kidogo ya Jiji la Mwanza na baadae kuwanufaisha wanachama wa TALGWU katika mikoa yote nchini.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.