Makamu wa Rais mstaafu wa Afrika Kusini atembelea Ofisi za CAMFED Tanzania
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Makamu wa Rais Mstaafu wa Afrika Kusini na aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la UN Women, Dkt. Phumzile Mlambo Ngcuka akifurahia jambo na Mkuu wa Shirika la CAMFED International, Angeline Murimirwa (kushoto).
Makamu wa Rais Mstaafu wa Afrika Kusini na aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la UN Women, Dkt. Phumzile Mlambo Ngcuka akizungumza alipotembelea ofisi za shirika la CAMFED zilizopo Jijini Dar es salaam na kufanya mazungumzo na viongozi wa Shirika hilo. Kushoto ni Mkuu wa Shirika la CAMFED International, Angeline Murimirwa.
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Makamu wa Rais Mstaafu wa Afrika Kusini na aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la UN Women, Dkt. Phumzile Mlambo Ngcuka ametembelea ofisi za shirika lisilo la kiserikali linaloshughulika na Kampeni ya Elimu kwa Mtoto wa Kike (Campaign for Female Education - CAMFED) zilizopo Jijini Dar es salaam na kufanya mazungumzo na viongozi wa Shirika hilo wakiongozwa na Mkuu wa Shirika la CAMFED International, Angeline Murimirwa.
Dkt. Phumzile ambaye ni Mgeni Maalumu katika Tamasha la 15 la Jinsia na miaka 30 ya Mtandao wa Jinsia Tanzania (TGNP) linalofanyika katika viwanja vya TGNP Mabibo jijini Dar es salaam ametembelea Shirika la CAMFED Alhamis Novemba 09, 2023.
Makamu wa Rais Mstaafu wa Afrika Kusini na aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la UN Women Dkt. Phumzile Mlambo Ngcuka akizungumza alipotembelea ofisi za shirika la CAMFED zilizopo jijini Dar es salaam na kufanya mazungumzo na viongozi wa Shirika hilo.
Makamu wa Rais Mstaafu wa Afrika Kusini na aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la UN Women, Dkt. Phumzile Mlambo Ngcuka akizungumza kwenye ofisi za shirika la CAMFED zilizopo jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais Mstaafu wa Afrika Kusini na aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la UN Women, Dkt. Phumzile Mlambo Ngcuka akizungumza alipotembelea ofisi za shirika la CAMFED zilizopo jijini Dar es salaam na kufanya mazungumzo na viongozi wa Shirika hilo. Kushoto ni Mkuu wa Shirika la CAMFED International, Angeline Murimirwa.
Makamu wa Rais Mstaafu wa Afrika Kusini na aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la UN Women, Dkt. Phumzile Mlambo Ngcuka akizungumza alipotembelea ofisi za shirika la CAMFED zilizopo jijini Dar es salaam na kufanya mazungumzo na viongozi wa Shirika hilo.
Makamu wa Rais Mstaafu wa Afrika Kusini na aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la UN Women, Dkt. Phumzile Mlambo Ngcuka akizungumza alipotembelea ofisi za shirika la CAMFED zilizopo jijini Dar es salaam na kufanya mazungumzo na viongozi wa Shirika hilo.
Mkuu wa Shirika la CAMFED International Bi. Angeline Murimirwa akizungumza wakati Makamu wa Rais Mstaafu wa Afrika Kusini na aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la UN Women, Dkt. Phumzile Mlambo Ngcuka (kulia) alipotembelea ofisi za shirika la CAMFED zilizopo jijini Dar es salaam.
Mkuu wa Shirika la CAMFED International Bi. Angeline Murimirwa akizungumza wakati Makamu wa Rais Mstaafu wa Afrika Kusini na aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la UN Women, Dkt. Phumzile Mlambo Ngcuka (kulia) alipotembelea ofisi za shirika la CAMFED zilizopo jijini Dar es salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji CAMFED Tanzania, Lydia Wilbard.
Mkuu wa Shirika la CAMFED International Bi. Angeline Murimirwa akizungumza wakati Makamu wa Rais Mstaafu wa Afrika Kusini na aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la UN Women Dkt. Phumzile Mlambo Ngcuka (kulia) alipotembelea ofisi za shirika la CAMFED zilizopo jijini Dar es salaam.
Mkuu wa Shirika la CAMFED International, Angeline Murimirwa akizungumza wakati Makamu wa Rais Mstaafu wa Afrika Kusini na aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la UN Women Dkt. Phumzile Mlambo Ngcuka (kulia) alipotembelea ofisi za shirika la CAMFED zilizopo Jijini Dar es salaam. Kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji CAMFED Tanzania, Lydia Wilbard
Mkuu wa Shirika la CAMFED International, Angeline Murimirwa akizungumza wakati Makamu wa Rais Mstaafu wa Afrika Kusini na aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la UN Women, Dkt. Phumzile Mlambo Ngcuka ( wa pili kulia) alipotembelea ofisi za shirika la CAMFED zilizopo jijini Dar es salaam. Wa kwanza kushoto ni Mkurugenzi wa Miradi na Ushirikiano CAMFED Tanzania, Anna Sawaki akifuatiwa na Mkurugenzi Mtendaji CAMFED Tanzania, Lydia Wilbard. Wa kwanza kulia ni Mkurugenzi Mkuu CAMFED Tanzania, Nasikiwa Duke.
Mkurugenzi Mkuu CAMFED Tanzania, Nasikiwa Duke (wa pili kushoto) akizungumza akizungumza wakati Makamu wa Rais Mstaafu wa Afrika Kusini na aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la UN Women, Dkt. Phumzile Mlambo Ngcuka (kulia) alipotembelea ofisi za shirika la CAMFED zilizopo jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi Mkuu CAMFED Tanzania, Nasikiwa Duke akizungumza wakati Makamu wa Rais Mstaafu wa Afrika Kusini na aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la UN Women, Dkt. Phumzile Mlambo Ngcuka (kushoto) alipotembelea ofisi za shirika la CAMFED zilizopo jijini Dar es salaam.
Mkurugenzi wa Miradi na Ushirikiano CAMFED Tanzania, Anna Sawaki akizungumza wakati Makamu wa Rais Mstaafu wa Afrika Kusini na aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la UN Women Dkt. Phumzile Mlambo Ngcuka (kushoto) alipotembelea ofisi za shirika la CAMFED zilizopo jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais Mstaafu wa Afrika Kusini na aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la UN Women Dkt. Phumzile Mlambo Ngcuka ( wa tatu kushoto) akipiga picha ya kumbukumbu na viongozi wa Shirika la CAMFED na TGNP.
Makamu wa Rais Mstaafu wa Afrika Kusini na aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la UN Women, Dkt. Phumzile Mlambo Ngcuka ( wa tatu kushoto) akipiga picha ya kumbukumbu na viongozi wa Shirika la CAMFED na TGNP.
Makamu wa Rais Mstaafu wa Afrika Kusini na aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la UN Women, Dkt. Phumzile Mlambo Ngcuka (wa tatu kushoto) akipiga picha ya kumbukumbu na viongozi wa Shirika la CAMFED na TGNP.
Makamu wa Rais Mstaafu wa Afrika Kusini na aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la UN Women, Dkt. Phumzile Mlambo Ngcuka akiwasili katika ofisi za Shirika la CAMFED jijini Dar es salaam.
Makamu wa Rais Mstaafu wa Afrika Kusini na aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la UN Women, Dkt. Phumzile Mlambo Ngcuka (wa pili kulia) akipiga picha ya kumbukumbu na viongozi wa Shirika la CAMFED.
Mkurugenzi Mtendaji - Kujifunza na Ushirikiano CAMFED Tanzania, Lydia Wilbard (kushoo) akifurahia jambo na Makamu wa Rais Mstaafu wa Afrika Kusini na aliyekuwa Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la UN Women, Dkt. Phumzile Mlambo Ngcuka (kulia).
No comments: