LIVE STREAM ADS

Header Ads

Aposto Joel Yamo anakukaribisha kwenye Ibada ya Maombi

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Aposto Joel Yamo wa kanisa la ‘Dorcus Christian Ministries’ lililopo Machinjioni jijini Mwanza anakukaribisha kwenye ibada ya maombi yaliyoanza Jumanne Novemba 07, 2023 hadi Jumapili Novemba 12, 2023.

Kwa msaada zaidi wasiliana na Aposto Joel Yamo kupitia nambari +255 788 92 76 76 ama +255 744 46 36 36. 
Fuatilia BMG TV ibada ya jumapili Novemba 05, 2023.
PIA TAZAMA>>> HABARI ZAIDI HAPA

No comments:

Powered by Blogger.