MPC yajaza nafasi zilizokuwa wazi
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Chama cha Waandishi wa Habari Mkoa wa Mwanza (Mwanza Press Club- MPC) kimefanya uchaguzi wa kujaza nafasi ya Makamu Mwenyekiti (Alex Mchomvu) aliyehamia mkoani Simiyu.
Wengine ni Katibu Mkuu Bernard James) aliyejiuzulu na Mjumbe wa Kamati Tendaji (Husna Mlanzi) aliyefariki dunia.
Tazama BMG TV hapa chini
SOMA>>> HABARI ZAIDI HAPA
No comments: