LIVE STREAM ADS

Header Ads

Matukio ya ukatili wa kijinsia yapungua Kanda ya Ziwa

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Imeelezwa kuwa mpango mkakati wa kitaifa wa kutokomeza vitendo vya ukatili wa kijinsia ulioanza kutekelezwa mwaka 2017/22 umesaidia kupunguza vitendo hivyo katika mikoa ya Kanda ya Ziwa.

Hayo yameelezwa na Mkurugenzi Mtendaji wa shirika la kutetea haki za watoto na wanawake la KIVULINI, Yassin Ally wakati wa ufunguzi wa maadhimisho ya siku 16 za kupinga vitendo vya ukatili duniani uliofanyika katika eneo la Igoma jijini Mwanza.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.