LIVE STREAM ADS

Header Ads

Wadau waajadili maboresho ya Sheria ya Huduma za Habari

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Mkurugezi wa MISA TAN , Elizabeth Riziki akizungumza wakati wa Mkutano wa Kimkakati na Wadau wa vyombo vya Habari kujadili kuhusu Maboresho ya Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016 (Media Services Act, 2016).

Mkurugezi wa MISA TAN , Elizabeth Riziki akizungumza wakati wa Mkutano wa Kimkakati na Wadau wa vyombo vya Habari kujadili kuhusu Maboresho ya Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016 (Media Services Act, 2016)

Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika, Tawi la Tanzania (MISA TAN) kwa kushirikiana na Ubalozi wa Finland nchini Tanzania pamoja na taasisi ya Protection International Africa imeendesha Mkutano wa Kimkakati na Wadau wa vyombo vya Habari kujadili kuhusu Maboresho ya Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016 (Media Services Act, 2016).

Mkutano huo umefanyika Ijumaa Novemba 03, 2023 jijini Dar es salaam na kukutanisha wadau wa vyombo vya habari wakiwemo wanasheria na waandishi wa habari.

Akifungua Mkutano huo, Mkurugezi wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika, Tawi la Tanzania (MISA TAN), Elizabeth Riziki amesema mkutano huo ni sehemu ya utekelezaji Mradi wa Kufahamu Haki za Binadamu Kupitia Uhuru wa Vyombo vya habari na Marekebisho ya Sheria (Realising Human Rights Through Media Freedom And Legal Reforms) unaotekelezwa na MISA TAN, Ubalozi wa Finland nchini Tanzania na taasisi ya Protection International Africa.

"Mkutano huu unalenga kujadili maboresho ya Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016 (Media Services Act, 2016), kupitia maeneo ambayo bado yanatakiwa kufanyiwa kazi ili kuboresha mazingira ya utendaji kazi wa waandishi wa habari na uhuru wa kujieleza ambapo mapendekezo yanayotokana na mkutano huu yatajumuishwa na mapendekezo ya maboresho mengine kutoka Sheria mbalimbali zinazohusiana na uhuru wa kujieleza" amesema Elizabeth.

Katika Mkutano huo, wadau wa habari wamejadili kuhusu Maboresho ya Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016 (Media Services Act, 2016) na kutoa maoni kuhusu marekebisho ya sheria hiyo.
Mkurugezi wa Taasisi ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika, Tawi la Tanzania (MISA TAN), Elizabeth Riziki akizungumza wakati wa Mkutano wa Kimkakati na Wadau wa vyombo vya Habari kujadili kuhusu Maboresho ya Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 216 (Media Services Act, 2016).
Mkurugezi wa MISA TAN , Elizabeth Riziki akizungumza wakati wa mkutano wa kimkakati na wadau wa vyombo vya habari.
Mkurugezi wa MISA TAN , Elizabeth Riziki akizungumza wakati wa mkutano wa kimkakati na awadau wa vyombo vya habari kujadili kuhusu maboresho ya Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016 (Media Services Act, 2016).
Mkurugezi wa MISA TAN, Elizabeth Riziki akizungumza wakati wa mkutano huo.
Mkurugezi wa MISA TAN, Elizabeth Riziki akizungumza wakati wa mkutano huo.
Afisa Utetezi na Uchechemuzi kutoka taasisi ya Protection International Africa, Jones Sendodo akizungumza wakati wa mkutano wa mkutano huo.
Afisa Utetezi na Uchechemuzi kutoka taasisi ya Protection International Africa, Jones Sendodo akizungumza kwenye mkutano huo.
Afisa Utetezi na Uchechemuzi kutoka taasisi ya Protection International Africa, Jones Sendodo akizungumza kwenye mkutano huo.
Wakili wa kujitegemea, Adolf Runyoro akielezea kuhusu maboresho ya Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016 (Media Services Act, 2016).

Wakili wa kujitegemea, Jebra Kambole akitoa mada kuhusu uhuru wa kujieleza na sheria za vyombo vya habari.
Wakili wa kujitegemea, Jebra Kambole akitoa mada kuhusu Uhuru wa Kujieleza na sheria za vyombo vya habari.

Afisa kutoka taasisi ya Protection International Africa, Francis Ndegwa akizungumza wakati wa Mkutano wa kimkakati na Wadau wa vyombo vya Habari kujadili kuhusu maboresho ya Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016 (Media Services Act, 2016)
Wadau wakiwa kwenye mkutano wa kimkakati na wadau wa vyombo vya Habari kujadili kuhusu maboresho ya Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016.
Wadau wakiwa kwenye mkutano wa kimkakati na wadau wa vyombo vya Habari kujadili kuhusu maboresho ya Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016.
Wadau wakiwa kwenye mkutano wa kimkakati na wadau wa vyombo vya habari kujadili kuhusu Maboresho ya Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016.
Wadau wakiwa kwenye Mkutano wa kimkakati na wadau wa vyombo vya habari kujadili kuhusu Maboresho ya Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016.
Wadau wakiwa kwenye Mkutano wa kimkakati na wadau wa vyombo vya Habari kujadili kuhusu maboresho ya Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016.
Wadau wakiwa kwenye Mkutano wa kimkakati na wadau wa vyombo vya habari kujadili kuhusu maboresho ya Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016.
Wadau wakiwa kwenye mkutano wa kimkakati na wadau wa vyombo vya habari kujadili kuhusu maboresho ya Sheria ya Huduma za Habari ya mwaka 2016.

No comments:

Powered by Blogger.