LIVE STREAM ADS

Header Ads

NSSF yashiriki maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) tarehe 1 Desemba, 2023 umeshiriki Maadhimisho ya Siku ya UKIMWI Duniani, ambayo kitaifa imefanyika Mkoani Morogoro katika Viwanja vya Michezo vya Shule ya Sekondari Morogoro. Mgeni rasmi katika maadhimisho hayo alikuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Kassim Majaliwa.

Maadhimisho ya siku ya UKIMWI Duniani mwaka 2023 yamebeba kauli mbiu isemayo “Jamii iongoze kutokomeza UKIMWI”.

No comments:

Powered by Blogger.