LIVE STREAM ADS

Header Ads

Tangazo la kazi, Scott Garden Restaurant

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Uongozi wa Scott Garden Restaurant iliyopo Buswelu Manispaa ya Ilemelea jijini Mwanza unatangaza nafasi ya kazi (Meneja).

Mwombaji awe na elimu ya masuala ya hoteli, uzoefu kuanzia miaka minne, umri kuanzia miaka 30 pamoja na masuala ya uongozi.

Majukumu yake yatakuwa ni pamoja na kusimamia biashara ya vinywaji na chakula, kupanga na kusimamia majukumu ya wafanyakazi, kuandaa ripoti ya utendaji kazi na kumbukumbu za malipo mbalimbali.

Maombi yatumwe kupitia scottgardenrestaurant@gmail.com ambapo mwisho ni Januari 10, 2024.

No comments:

Powered by Blogger.