LIVE STREAM ADS

Header Ads

Waziri Mbarawa akutana na Waziri wa Usafiri wa Anga India

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Waziri wa Uchukuzi Profesa Makame Mbarawa (katikati kushoto) amefanya kikao maalum na Waziri wa Usafiri wa Anga wa India, Jyotiraditya Scindia (wapili kulia) kuhusu maeneo ya ushirikiano baina ya nchi hizo mbili katika sekta ya usafiri wa ngapi.

No comments:

Powered by Blogger.