LIVE STREAM ADS

Header Ads

Tanzania yashiriki mkutano wa maendeleo ya sekta ya anga

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Waziri wa Uchukuzi, Prof. Makame Mbarawa akifuatilia mkutano wa kimataifa wa mawaziri wa usafiri wa anga huko Hyderabad, India.

Mkutano huo unajadili fursa na changamoto za sekta hiyo. Waziri Mbarawa ameandamana na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usafiri wa Anga la Tanzania, Hamza Johari.

No comments:

Powered by Blogger.