Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Msanii polisi maarufu Nyumbu Mjanja anakualika kusikiliza wimbo wake mpya unaitwa Mimi Na Wewe!
Katika wimbo huu unaohusu usalama barabarani, Nyumbu Mjanja amemshirikisha Kaneto.
No comments: