Wimbo wa Injili: Risandi Laizer- Yupo Mungu
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Yupo Mungu anayeweza wote! Naam! huu ni Wimbo Mpya wa Injili wa Mkali wa Gospel Risandi Laizer kutoka jijini Arusha.
Yupo Mungu ni miongoni mwa kazi nzuri za Risandi Laizer ambaye anatamba kwa nyimbo zake nzuri ndani na nje ya mipaka ya Tanzania.
Wasiliana na Risandi Laizer kwa Simu namba +255766200459
Karibu usikilize ujumbe huu utabarikiwa.
Usisahau ku like, ku-Comment na ku-share Kwa wengine.
No comments: