LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mkurugenzi Mkuu wa NSSF akutana na Spika wa Bunge

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambaye pia ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU), Dkt. Tulia Ackson amekutana na kufanya mazungumzo na Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii (NSSF), Masha Mshomba ofisini kwake Bungeni jijini Dodoma, tarehe 15 Februari, 2024.

Pamoja na mambo mengine, Mshomba amempongeza Dkt. Tulia kwa kuchaguliwa kuwa Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU).

No comments:

Powered by Blogger.