LIVE STREAM ADS

Header Ads

Dkt. Biteko amwakilisha Rais Samia Mwanza

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, amewasili katika kanisa la 'Africa Inland Church Tanzania' AICT Makongoro jijini Mwanza kumwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan kwenye ibadara ya kuweka jiwe la msingi la ujenzi wa jengo la Makao Makuu ya Kanisa hilo.

Ibada hiyo inafanyika jumamosi Machi 16, 2024 ambapo pamoja na mambo mengine pia itaambatana na changizo la ujenzi wa jengo hilo, 'Inland House' lenye urefu wa ghorofa nne.
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko (kushoto) akisalimiana na Askofu Mkuu wa kanisa la AICT, Mussa Magwesela (kulia).
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko (kushoto) akisalimiana na Askofu Mkuu wa kanisa la AICT, Mussa Magwesela (kulia).
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko (kushoto) akisalimiana na viongozi mbalimbali mkoani Mwanza akiwemo Mkuu wa Wilaya Nyamagana, Amina Makilagi (katikati).
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko (kushoto) akisalimiana na viongozi mbalimbali alipowasili katika kanisa la AICT Makongoro jijini Mwanza.
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko akiwasili katika kanisa la AICT Makongoro jijini Mwanza.
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko (kushoto) akiteta jambo na Katibu Mkuu kanisa la AICT, Josephales Mtebe (kulia).
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko (kushoto) akiwa na viongozi mbalimbali jukwaa Kuu.
Na George Binagi- GB Pazzo, BMG

No comments:

Powered by Blogger.