LIVE STREAM ADS

Header Ads

Watanzania kunufaika na masoko ya China kupitia HAIPPA

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Kampuni ya umma ya HAIPPA ya nchini Tanzania imeingia makubaliano ya kibiashara ya kuwaunganisha watanzania na masoko ya nchini China. Makubaliano hayo yamesainiwa Machi 26, 2024 katika chuo cha mipango vijijini kampasi ya Mwanza ambacho ni mlezi wa kampuni hiyo.
Tazama BMG TV hapa chini
PIA SOMA>>> Habari zaidi hapa

No comments:

Powered by Blogger.