Meli mpya ya MV. Mwanza yaanza majaribio
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com

Zoezi hilo linahusisha wataalam wa nje ya nchi wapatao 20 kutoka Ujerumani, Ureno, Ufilipino, Denmark, Uholanzi na Korea Kusini ambao wamejumuika na wataalam wa ndani ya nchi.
Mkurugenzi wa Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL), Eric Hamiss amesema zoezi hilo ni la siku mbili, Machi 25 na 26, na litakapokamilika ujenzi wa meli hiyo utakuwa umefika asilimia 96, kutoka asilimia 93 za sasa.
"Majaribio haya ya awali yanahusisha wataalam tu, kwa sababu za kiusalama" amesema Hamiss.
No comments: