LIVE STREAM ADS

Header Ads

Waziri Mkuu Majaliwa atoa ratiba ya mazishi ya mzee Mwinyi

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ametoa ratiba ya mazishi ya Rais Mstaafu wa Tanzania, Mzee Ally Hassan Mwinyi aliyefariki dunia Februari 29, 2024 katika Hospitali ya Mzena jijini Dar es salaam. Mzee Mwinyi alizaliwa mwaka 1925.
Tazama video hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.