LIVE STREAM ADS

Header Ads

Kamati ya Siasa CCM yatoa kauli ujenzi wa Soko Kuu Mwanza

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Kamati ya Siasa ya Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa Mwanza, Jumatatu Mei 27, 2024 imekagua ujenzi wa Soko Kuu jijini Mwanza na kuagiza mradi huo ukamilike na kuanza kutumika.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.