RC Mwanza atakiwa kuingilia kati ujenzi wa barabara ya Buhongwa- Igoma
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Kamati ya Siasa ya CCM Mkoa Mwanza imemwagiza Mkuu wa Mkoa Mwanza kushughulikia mvutano wa gharama za kuhamisha miundombinu ya umeme na maji katika mradi wa ujenzi wa barabara ya Buhongwa- Igoma ili utekelezaji wa mradi huo ufanyike kwa kasi.
Tazama BMG TV hapa chini
PIA>>> BONYEZA HAPA KUSOMA ZAIDI
No comments: