Dada wa kazi aliyechomwa moto aendelea kupata nafuu
Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Hali ya kiafya ya dada wa kazi za nyumbani aliyechomwa moto na mwajiri wake mapema mwezi Juni mwaka huu 2024, katika Kata ya Usagara wilaya ya Misungwi mkoani Mwanza, imeendelea kuimarika.
Tazama BMG TV hapa chini
PIA>>> SOMA HABARI ZAIDI HAPA
No comments: