LIVE STREAM ADS

Header Ads

Shirika la KIVULINI laibua mbinu mpya za ukeketaji

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Shirika la kutetea haki za watoto na wanawake KIVULINI limefichua mbinu mpya zinazotumika kuwafanyia ukeketaji watoto wa kike.

Mkurugenzi wa shirika hilo, Yassin Ally ametaja mbinu hizo Jumapili Juni 16,2024 wakati wa kilele cha maadhimisho ya Siku ya Mtoto wa Afrika yaliyofanyika Kata ya Muriba wilayani Tarime.
Tazama BMG TV hapa chini

No comments:

Powered by Blogger.