LIVE STREAM ADS

Header Ads

Mradi wa nguruwe wavutia wengi

Yaliyomo humu (Habari, Matangazo na Maoni) si msimamo wa BMG Media. Mawasiliano +255 757 432 694 ama ripotabmg@gmail.com
Mtangazaji na msanii wa kizazi kipya kutoka Wasafi Media, Baba Levo ametembelea Kijiji cha Nguruwe kilichopo Zamahero Mkoa wa Dodoma kwa ajili ya kujionea mradi huo 

Baba Levo ametembelea mradi huo Jumapili Julai 14,2024 akiwa ameambatana na waandishi wa habari kutoka vyombo vya habari.

"Tumeona kweli nguruwe wapo, mabanda ni mengi na mengine yanaendelea kutengenezwa, lakini mifumo ya kisasa imefungwa kwa ajili ya kuwalinda nguruwe" amesema Levo.

Kwa upande wake, Mkurugenzi wa mradi huo, Bwana Manguruwe ametumia fursa hiyo kuwakaribisha wadau mbalimbali kuwekeza katika ufugaji wa nguruwe kwenye mradi huo na kupata faida.

No comments:

Powered by Blogger.